ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 3, 2016

UCHAGUZI DRC WAPIGWA KALENDA MIKA MIWILI MBELE SASA KUFANYIKA 2018

Tume: Uchaguzi DR Congo utafanyika 2018
Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinasema kuwa tume huru ya Uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwa uchaguzi mkuu sasa utaandaliwa Novemba mwaka wa 2018 na wala sio mwaka huu kama ilivyotarajiwa.

Viongozi kadha wa upinzani walioshiriki katika mazungumzo ya amani ya kitaifa wameafikiana na uamuzi huo, lakini kuna wale wanaoupinga wakisema ni njama ya Rais Joseph kabila kusalia madarakani.

Mwandishi wa BBC Mbelechi Msoshi anaripoti. 

ZAIDI BOFYA HAPA http://www.bbc.com/swahili/habari-37538189

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.