ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 4, 2016

AIRTEL YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE.

Mkurugenzi wa Airtel Bwn Sunil Colasso akiwa na baada ya wafanyakazi kabla ya kushiriki futari iliyoandaliwa na Airtel kwaajili ya wafanyakazi wake.
Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakishirikia katika futari iliyoandaliwa katika ofisi za Airtel Makao Makuu Morocco jijini Dar es Saalam

Airtel yafuturisha wafanyakazi wake

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mwishoni mwa wiki imeshiriki na wafanyakazi wake katika kufutu wakati huu wa msimu wa Ramadhani.

Airtel imekuwa na mpango huo wenye lengo la kuungana na wafanyakazi wao waislamu katika mwezi huu mtufuku kila mwaka.

Mbali na kufuturisha wafanyakazi kampuni ya simu ya Airtel kwa mwaka huu pia imefikia watoto zaidi ya 500 kutoka katika vituo vya kulelea watoto walio katika mazingira magumu nchini  katika mikoa ya Arusha, Dar, Mbeya, Mwanza, Dodoma.

lengo likiwa ni dhamira yetu ni kuendelea kugusa maisha ya watoto hawa na kuwafanya wajisikia kuwa sehemu ya familia ya Airtel”.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.