Shamrashamra zimetanda katika eneo la Kigamboni baada ya Rais Magufuli kwenda kuzindua Daraja kubwa litakalo unganisha maeneo mbalimbali jijini Dar Es Salaam:
Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Mh.Paul Makonda atoa utambulisho wa meza kuu katika sherehe za uzinduzi wa daraja la kigamboni:
Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Mh.Paul Makonda atoa shukrani za dhati kwa Rais Magufuli na kumuahidi kutenda kazi katika mkoa wake:
Wakazi wa jiji la Dar Es Salaam wampongeza Rais Magufuli kwa utendaji wake na falsafa yake nzuri ya hapa kazi tu:
Mkurugenzi wa NSSF atoa taarifa fupi kuhusu ushirikiano waliyoufanya na serikali ya Tanzania katika ujenzi wa daraja la kigamboni:
Sikiliza alichosema rais Magufuli kuhusiana na wakazi wa Kigamboni wakati wa uzinduzi wa daraja la Kigamboni;
Ukiongelea kuhusu Tanzania hakika huwezi kuliacha jina la Nyerere na leo hii rais Magufuli anaweka historia nyingine ya mwalimu Nyerere;
Rais Magufuli awataka wananchi kutunza miundombinu ya daraja la Kigamboni pamoja na kuchangia gharama za usafiri katika daraja hilo.
Wananchi Waaswa Kushirikiana Na Viongozi.
Wananchi wametakiwa kushirikiana na viongozi ili kuendeleza nchi na kuachana na uchama katika kuleta maendelea;Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.