Wakati huohuo matokeo ya kata ya Nyamanoro nayo yametenguliwa kwa kasoro zilizopelekwa na walalamikaji. Kata zote zilikuwa zikishikiliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo nchini CHADEMA
Baada ya mahakama kubatilisha matokeo ya uchaguzi ngazi ya udiwani katika kata za Nyamanoro na Kitangiri na kuelekeza chaguzi zifanyike upya katika kata hizo. Madiwani wa sasa wa kata hizo Aboubakar Kapela (Nyamanoro) na John Mwita (Kitangiri) Wamesema hawakubaliani na uamuzi huo kwa madai ya kuwa na harufu ya rushwa juu ya uendeshaji wa kesi hizo na kuwa watakata rufaa dhidi ya wapinzani wao Henry Matata (Kitangiri) na George Maganiko (Nyamanoro) wote wakitokea chama cha mapinduzi. Kwa taarifa zaidi BOFYA PLAY KUSIKILIZA KILICHIJIRI.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.