Sunday, May 31, 2015
SIASA
Safari hii kuna changamoto ya kutosha, angalia haya na utauona ukweli mbele ya safari,- Kuna wanaojitangaza sasa ili kujiandaa kwa miaka ijayo,kuna wanaoamini sasa ni muda wao kuongoza,kuna waoona mikoa, kanda yao sasa ni zamu yao kutoa Rais,kuna walioonewa, hivyo wanamachungu ya kulipiza kisasi, ingawa malipizi yanaweza yasionekane moja kwa moja.
Kuna wanaotaka kutengeneza CV zao kwamba alishawahi ku-compete, kuna wengine ni chambo wamewekwa kuzuga kimtindo dizaini flani hivi lakini wako migongoni mwa watu.
Yote tisa Lakini safari hii wapo watakao umia zaidi na kujuta.
Kama mwananchi wa kawaida wewe umesimama kwa nani, Jeh anatufaa sote au anakufaa kwa maslahi binafsi?
Tafakari.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment