ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, May 20, 2015

JESHI LA POLISI MWANZA KUMUAGA KAMANDA VALENTINO KWA BONANZA LA SOKA

Aboubakari Zebo.
NA: ALBERT G. SENGO: MWANZA

Ili kuhakikisha kuwa fursa zilizopo katika Michezo nchini zinatumika vyema Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limeandaa Bonanza la Soka lenye lengo la kuihamasisha jamii kupinga vitendo vya ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye albinism.

Mratibu wa Bonanza hilo linalotaraji kuchukuwa kasi siku ya Jumapili katika viwanja vya Polisi Mabatini Aboubakari Zebo amesema kuwa pia Bonanza hilo litatumika kama jukwaa la kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Afande Valentino Mlowola aliye kwenda kuwa Mkurugenzi wa Interejensia Mkao Makuu na kumkaribisha Kamanda mpya Afande Charles Mkumbo. 

Aboubakari Zebo ni mratibu wa Bonanza hilo na hapa anafunguka zaidi...BOFYA PLAY KUSIKILIZA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.