Tukio la mwisho la Olimpiki 2012 lililokuwa na washindi
toka Afrika Mashariki ni mbio za Marathon, mitaani London . Ingawa
mshindi hakutoka Bongo- wakimbiaji wetu watatu walishiriki kwa dhati
bila mafanikio. Kabla ya kurudi nyumbani wanamichezo walialikwa na
Ubalozi wetu Uingereza. Je, ilikuwaje? Nini kilizungumziwa? Na je ,
nini funzo au somo la mashindano haya kwetu sote?
Tafakari, chukua hatua na kuwa sehemu ya suluhisho ili kuleta mapunduzi katika tasnia ya Michezo Tanzania.
KHADIJA SAID ANG’ARA WIKI YA JUMUIYA YA WAZAZI DAR
-
*Leo, Jumamosi ya tarehe 09 Mei 2026, Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es
Salaam imefanikiwa kufanya Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Jumuiya ya
Wazazi Mkoa...
0 comments:
Post a Comment