Mkurugenzi wa Mepal Management, Ms Pamela B. Irengo (kushoto) akiwa na mmoja kati ya warembo washiriki wa Miss mwanza 2018 wakishiriki kumlisha mmoja ya watoto waishio mazingira magumu wa Kituo cha Fonelisco - Foundation of New Life For street Children and Orphans
Mapema leo washiriki wa Miss Mwanza 2018 walipata nafasi ya kutembelea Kituo cha kulea watoto wanaoishi mazingira magumu cha Fonelisco - Foundation of New Life For street Children and Orphans kushiriki na waalimu wa eneohuika katika malezi kutoa misaada pamoja na kucheza na watoto hao michezo mbalimbali. #UrembonaKaziKwaMaendeleoYaJamii
KWatoto wa kituo cha Fonelisco - Foundation of New Life For street Children and Orphanswakifurahia jambo na mmoja wa waalimu wao wakujitolea.
Wadau wa Miss Mwanza wamefanikisha tabasamu kwa kiwango kikubwa kwa watoto hawa kwa kuwa walezi wa muda waliotumia kituoni hapa.
Changamoto na shukurani pia ziliwasilishwa na walezi wa kituo hiki cha kulea watoto yatima waishio mazingira magumu Fonelisco - Foundation of New Life For street Children and Orphans
Picha ya pamoja.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.