Mkuu wa wilaya wa sengerema amemwagiza mkurugenzi wa
halmashauri ya wilaya hiyo kuwasilisha taarifa ya matumizi ya fedha za serikali
zilizotolewewa kwaajili ya kuboresha miundombinu kwa baadhi ya zahanati wilayani humo tutokana kutuwepo
na choo cha wagonjwa katika zahanati ya mwabaluwi.
Mh Emanueli kipole ameyasema hayo katika kikao cha adhala
kwa wannchi katika kata ya Mwabalui
baada ya kukagua shughuli za maendeleo na kuwataka wananchi kushiriki katika
kujiletea maendeleo yao kwa kufanya kazi.
Kwaupande wake mwenyekiti wakitongoji bwana Steven Itoba amekili kutokuwepo na choo hiyo na
kuongezakuwa imekuwa ni chagamoto kwa wagonjwa na walemavu wanaofika kupata
huduma ya afya zahanati hapo.
Wakitoa hoja zao kwa mkuu wa wilaya katika kikao cha adhala
wananchi hao wamesema kuwa wamekuwa wakipata usumbufu zaidi ya miaka
mitano pindi wanapofika hospitalini hapo
kupata matibabu
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.