Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli yupo mkoani
Pwani kwa ziara ya kikazi ambapo leo anawahutubia wananchi wa Bwawani,
Kibaha mkoani humo.
Katika siku za hivi karibuni, Mkoa wa Pwani
umekumbwa na mfululizo wa matukio ya mauaji, jambo linaloonesha kumkera
sana mheshimiwa rais.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment