Elimu ya Mizani kwa wakulima wa Pamba Mkoani Shinyanga hata baada ya Msimu wa Ununuzi wa pamba kuanza.
Marobota ya Pamba yanayo subiri kuuzwa baada ya msimu kufunguliwa mkoani Simiyu.
Marobota ya Pamba yanayo subiri kuuzwa baada ya msimu kufunguliwa mkoani Simiyu
Maafisa
wa Wakala wa Vipimo Nchini, ukionesha Mizani iliyo kaguliwa na
kukubaliwa kutumika katika msimu wa ununuzi wa Pamba kwa mwaka huu.
Waliosimama chini ni Maafisa wa Wakala wa Vipimo wakionesha Mizani
zilizo hakikiwa tayari kwa msimu huu wa ununuzi wa Pamba
Elimu ya Mizani sio zoezi lakukoma bali ni Muendelezo kama Wakala wa
Vipimo anavyo onekana kutoa Elimu katika Mikoa ya Shinyanga, Simiyu,
Tabora na Mwanza.
Pmba.8
Afisa wa wakala wa Vipimo, Bibi Rehema Michael akipima usahihi wa
robota la Pamba kwakutumia mizani iliyohakikiwa na wakala wa Vipimo
mkoani Simiyu mara baada yakufunguliwa kwa Msimu (Picha zote na Wakala
wa Vipimo)
Mkulima wa Pamba Mkoani Shinyanga akipima Pamba yake katika mzani uliohakikiwa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.