GSENGO BLOG
SIMIYU. Naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina.akiwa ameshika mabarafu ya mvua iliyonyesha ktk kijiji cha Maalagani kata ya Mbugabani jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mkoani Simiyu.
Mvua hiyo imenyesha ikidumu kwa muda wa takribani dakika 45 imesababisha kuharibika kwa mimea na mazao kama pamba, mahindi huku baadhi ya wananakijiji wamesema wako katika hali duni kwani Nyumba zao zimeathirika.
Blog ya G.Sengo inaendelea kufwatilia tukio hilo. Luhaga mpina mbunge Wa jimbo hilo ameshuhudia tukiohilo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.