Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. |
Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dodoma (Duwasa) kuhakikisha kuwa madeni yote ya Sh1.5 bilioni wanayodai kwa wateja zikiwemo taasisi za Serikali yanalipwa ili mamlaka hiyo iweze kuendelea na shughuli za uboreshaji wa utoaji huduma.
Majaliwa ameyasema hayo wakati alipotembelea kituo cha uzalishaji maji cha Mzakwe mjini hapa.
Pia amewataka viongozi wa mamlaka hiyo kuandaa orodha ya wateja wote wanadaiwa na kuifikisha ofisini kwake.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.