ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 4, 2016

ISHA MASHAUZI NA LEYLA RASHID KUPAMBANA OKTOBA 22DAR LIVE

Jahazi na Mashauzi Classic kusindikiza WAIMBAJI   wawili  wanaokimbiza  kwenye   soko   la   taarab   kwa   hivisasa Isha Mashauzi na Leyla Rashid watapambana vikali Oktoba 22ndani ya ukumbi Dar Live Mbagala.

Unaambiwa ni malkia  wawili ndani ya jukwaa moja, ambapo  IshaMashauzi   atathibitsha   kuwa   nyeye   ni   malkia   wa   masauti   matamuhuku   Leyla   akitaka   kudhihirisha   kwamba   yeye   ndiye   malkia   wataarab.

Mratibu wa onyesho hilo Hajji Mabovu amesema bendi mbili kubwaza taarab Jahazi Modern  Taarab na  Mashauzi Classic  zitasindikizampambano huo wa Isha na Leyla.

Waimbaji   hao   wawili   kwa   pamoja   wameuthibitishia   mtandao   huukuwa wamefikia makubaliano ya kuonyeshana ubabe Jumamosi yatarehe 22 mwezi huu.

Leyla   Rashid   amesema   anamsikitikia   sana   Isha   Mashauzi   kwakukubali kushiriki mpambano huo kwa vile kwasasa yeye (Leyla) nimaji marefu ambayo kamwe Isha hawezi kuyagoka.

Naye Isha Mashauzi ametamba kuvuna ushindi mkubwa na kuongezakuwa Leyla ameingia choo cha kiume kwa kukubali mtanange huo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.