Dkt. Manoj Kumar
Agarwala, Mshauri Mwandamizi na Mtaalamu wa Magonjwa ya Moyo na Mishipa
ya Moyo katika Hospitali ya Apollo Hyderabad.
Na Mwandishi Wetu,
Dar Es Salaam, Oktoba 2015:Ikiwa zimepita siku tatu toka kuhadhimishwa siku ya Moyo dunia ni mwaka huu,
Watanzania wameshauriwa kufanya maamuzi binafsi katika kujali afya ya moyo.
Kauli mbiu ya Siku ya Moyo duniani mwaka 2015
inahusu kuchagua afya bora ya moyo kwa kila mtu na kila mahali.
Pia inalenga kuonyesha matokeo ambayo mazingira yetu yanaweza kuleta juu ya uwezo wetu wa kufanya maamuzi
bora kwa ajili afya bora kwa moyo wa binaadamu.
Piasikuhiyoinatumikakuelimishajinsiambavyomazingiratunayoishiyanawezakuathirinakuongezahatariyamagonjwayanayohusiananamoyo.
Kwamujibuwatakwimuyahivikaribuniya
WHO iliyochapishwa Mei 2014, vifovyaugonjwawamoyonchini Tanzania vimefikia
11,031. Hiinisawanawastaniwavifo54 kwakilawatu 100,000,nahivyokuiweka Tanzanianchiya
148 duniani. Idadihiiyavifoinayosababishwanamatatizoyamoyoinahitajimabadilikoharakasanaikibidikusitishwakabisa.
Ikiwachanzokikubwa
chavifovingiduniani, magonjwayamoyoyakiwanipamojanaugonjwawamshtukowamoyo,
ugonjwawamishipayamfumowafahamu (kiharusi), shinikizo la damu, ugonjwawamishipayaateri,
ugonjwawamoyokupooza, ugonjwawamoyowakurithinamoyokushindwakufanyakaziyanaigharimunchikiuchuminakijamiikwakiasikikubwa.
Watanzaniawengiwanakufakwamagonjwayanayohusiananamoyokilamwaka,
haliambayoinahitajihatuamadhubutinamsaadawakimkakatiwawadauwamaendeleoilikubadilihili.
Mambo hatarishiyakitabianayakisaikolojiayanadaiwakuchangia75% yamagonjwayamoyo.
Kwakweli, magonjwamengiyanayohusiananamoyoyanawezakuzuiwakwakushughulikia mambo
hatarishi.
Dkt. Manoj Kumar Agarwala, MshauriMwandamizinaMtaalamuwaMagonjwayaMoyonaMishipayaMoyokatikaHospitaliyaApollo
Hyderabad,anatajabaadhiyamambo
hatarishiyanayowezakusababishaugonjwawamoyo. Mambo hayonipamojanaumri, jinsia,
historiayafamilia, sigara, lisheduni, shinikizo la damu, kiwangokikubwa cha mafutakwenyedamu,
kisukari, unenewakupindukia, kutofanyamazoezi, dhikinahaliduniyausafi. Dkt.Agarwalaanapendekezakuachakuvutasigara,
kupunguzamafuta, kudhibitishinikizo la damu, kuwamchangamfu, kulamlokamili,
kuzingatiauzitounaotakiwakamanjia bora yakupunguzahatarizamagonjwayamoyonamishipa.
Anaongezakuwamazingiraambayotunaishi, kufanyakazinakushirikimichezoyanawezakuwanamatokeomakubwajuuyauwezowetuwakufanyamaamuzisahihikwaafyayamioyoyetu.
Maishayashughulinyingipamojanauhabawamlokamili,
matumiziyatumbaku, ukosefuwamazoezivinaongezakiwango cha vifovinavyotokananamoyonchiniTanzania.
Mabadilikokatikamaishayanahitajimchanganyikowahatuabinafsinahatuazakijamiinakiuchumivilevile.
Tunaaminikwambakilamtu,
kilamahalianahakiyakuchaguakuimarishaafya borayamoyo. Kujengamazingirayaafyayamoyoyatatuwezeshasotekufanyamaamuzisahihiyanayowezakupunguzahatariyaugonjwawamoyonakiharusi.
AnathibitishaMtaalamuhuyowamoyokutokaHospitaliyaApollo.
Kama mojayasababumuhimuzaafyayamoyo,
Dkt. Girish B
NavasundiMshauriMwandamizi, MtaalamumagonjwayaMoyokatikaHospitaliyaApollo,
Bangalore,anawaelimishaWatanzaniajuuyaumuhimuwamajiyakunywailikuepukamagonjwayamoyo,
utamaduniambaoWatanzaniawengihawana. "Moyohauwezikupigabilamaji, asilimia
70 yamwiliwabinadamunimaji. Kwahiyo, kufikiahomiostasisiyamajinaelektrolitinimuhimukwaajiliyautendajimzuriwamwili,hasamfumowamishipayadamu.
Anasema.
"MwiliBinadamuunahitajikaribu
35 ml zamajikwa kilo yauzitowamwilikwasikuhiyonikaribu 2,100 ml kwa kilo 60
mtu. Matumiziyaglasitano au zaidizamajikwasikukwakiasikikubwahupunguzamatukioyajangala
mashambuliziyamoyo, ikilinganishwanakushindwakunywachiniyaglasimbilizamajikwasiku.
"AnaongezaDkt.Navasundi.
Dkt.Navasundianahitimishakwakusemafaidazamatumiziyakutoshayamajihufanyadamukuwanyepesi,
kufanyamzunguko wake kwendavizurikatikamfumowamoyo, itapunguakazikubwayamoyonahupunguzahatariyadamukugandapapokwapapondaniyamishipayadamu.
Sikuyamoyoinalengakuboreshaafyadunianinakuhimizawatukufanyamabadilikoyamtindowamaishanakukuzaelimukimataifakuhusunjiazakuwekamoyowakonaafyanjema.
SikuyaMoyoDuniamwakahuu, imelengakatikakujengachaguosahihi la afyayamoyokwakilamtu,
kilamahalikwakuhakikishakuwawatuwanauwezowakufanyamaamuzijuuyaafyayamoyopopote
pale wanapoishi, kufanyakazinakushirikimichezo. Sikuhiiinatuhimizasoteilikupunguzahatarizamoyonamishipa,
nakukuzasayariyenyeafyayamoyokwa wale waliokaribunasi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.