Kutokana na miundombinu kutokuwa rafiki kwa baadhi ya maeneo kutofikika kirahisi kwa majira yote ya mwaka kwa barabara zake kuathiriwa na mvua na mabadiliko ya tabia nchi hali inayochelewesha usambazaji wa huduma mbalimbali.
Nayo nia ya Serikali kuona inaboresha utoaji wa huduma za afya hadi ngazi za vijiji kwa kupata suluhu ya changamoto ya usafirishaji wa vifaa tiba ikibaki palepale, Kampuni zaidi ya 5 zinashiriki katika maonesho ya kimataifa yanayofanyika mkoani Mwanza, kuwania zabuni ya utoaji huduma ya ndege zisizokuwa na rubani (drone) zenye uwezo wa kubeba mzigo wa kuanzia kilo 5 hadi 30.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.