Baadhi ya wadau na Wanasayansi Watafiti wakifuatilia Kongamano hilo la 30 la NIMR mapema leo.
Meza kuu ikifuatilia tuko hilo la ufunguzi: Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan (Wa pili kulia) akifuatiwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla. Kushoto ni Dk. Honorati Masanja kutoka taasisi ya Utafiti ya Ifakara na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk. Mwele Malecela.
Tukio likiendelea.
Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akikabidhi ngao kwa mmoja wa wadhamini wa kongamano hilo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk. Mwele Malecela.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wanahabari (Hawapo pichani) muda mfupi baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk. Mwele Malecela akizungumza na wanahabari .(Hawapo pichani) muda mfupi baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.