ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 29, 2016

BAADHI YA MAAFISA MAZINGIRA WAKIHAKIKISHA ZIWA VICTORIA LINAKUA SAFI.
ALIYE VAA KOFIA NYEUPE BI,ROSEMARY RWEBUGISA, AFISA UHIFADHI MAZINGIRA KANDA YA ZIWA AKIWA NA MAAFISA MANZINGIRA WENZAKE PAMOJA NA BAADHI YA WANAFUNZI.
KANDO KANDO YA  ZIWA VICTORIA.
LIVEMP INAKUZA VIJANA KATIKA MASUALA YA ELIMU YA UTUNZAJI MAZINGIRA KWA VITENDO .
KWA PAMOJA TUNAWEZA KUTOKOMEZA UCHAFU NA MAGUGUMAJI KATIKA ZIWA VICTORIA
MAAFISA MAZINGIRA WAKIHAKIKISHA ZIWA VICTORIA LINAKUA SAFI.


 TAREHE 27,02,2016 Mradi wa uhifadhi mazingira bonde la Ziwa Victoria ulikuwa sehemu ya washiriki wa zoezi la usafi wa wa mazingira kando kando ya ziwa Victoria kutoa magugu maji maeneo ya Kamanga Ferry jijini Mwanza.

Wadau hao wameshiriki zoezi hilo kama sehemu ya jamii pamoja na kuendeleza agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhakikisha nchi inakuwa salama kwa kuwa na mazingira safi ili kuepuka magonjwa ya milipuko hasa kipindupindu.

Zoezi hilo liliongozwana afisa uhifadhi Mazingira Bonde la Ziwa Victoria [ LVEMP ] KANDA YA ZIWA BI.ROSEMARY  RWEBUNGISA,
PICHA NA ZEPHANIA MANDIA 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.