Rais John Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa mchanga usiondoke nje ya
nchi kutokana na kiasi kikubwa cha mchanga huo kuwa na ulaghai wa
mikataba ya uchenjeaji.
Rais Magufuli amezungumza hayo leo alipokuwa akipokjea ripoti ya pili ya Mchanga wa Dhahabu Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Magufuli amesema nchi inahitaji wawekezaji lakini sio wenye
kuikandamiza na kwamba wawekezaji wa namna hiyo hawana faida na nchi.
*ACASIA* inafanya kazi zake nchini kinyume na sheria
#kamati maalum
*Acasia* haina uhalali wa kufanya kazi nchini
#kamati maalum
Kufuatia taarifa usafirishaji makontena idadi kubwa ya makontena ilisafirishwa bila kuorodheshwa
#kamati maalum
Kamati imebaini makontena yaliyozuiliwa bandarini yameshauzwa tayari.
#Kamati maalum
Mauzo yaliyofanya nje hayakuwa makenikia haswa bali yalikuwa ni madini halisi.
#kamati maalum
Kamati imebaini makontena 44,277 kwa kiwango cha chini yalisafirishwa nje ya nchi kati ya 1998 na 2017.
Wizarani (Wizara ya Fedha) watu wamepiga $62m tokea mwaka 1998
#kamati maalum
Bulyanhulu na Pangea wamekuwa wakiuza makinikia nje ya nchi kinyume na taratibu. Wamedanganya uzito wa makontena yao.
Kamati imebaini kuwa makampuni ya madini yametenda makosa yafuatayo:-
- Ukwepaji kodi
- Kutoa taarifa za uongo
- Uhujumu uchumi
Mh Rais biashara ya uuzwaji wa makinikia haukufanyika kwa ushindani na pia si kweli waliuza makinikia bali waliuza madini.
Viwango vya dhahabu kwa kila kontena ni 28kg, kwa miaka yote ni tani 1,240 kwa kiwango cha chini, thamani yake Tsh 108tril
Kiwango cha Silver kwa kutumia viwango vya juu Tani 300 na zaidi toka Mwaka 1998 hadi leo ni zaidi ya bajeti ya miaka 2.
Mikataba haina Masharti kuwa Serikali inapaswa kupewa taarifa ya uuzwaji wa Makinikia kutoka ktk migodi.
Mh Rais kodi ya mapato tuliyopoteza ni Trilioni 55 kodi ya zuio yaaani holding Tax ni Trilioni 54.
Mh Rais jumla ya makontena 44277 jumla ya makontena yaliyosafirishwa toka mwaka 1998 hadi leo ilikuwa Trilioni 132 kiwango cha chini.
Mh Rais katika uchunguzi wetu Serikali ina hisa asilimia 15 ikauza 5 na kila mwaka kamishna au Waziri wa Fedha hupokea dola laki 1.
Kamati imebaini Serikali ilikuwa na 15% ya hisa mgodini Bulyanhulu hadi mwaka 1999 chini ya Waziri A. Kigoda zilipopunguzwa hadi 5%
Pangea Gold mine ina mikataba miwili ilisainiwa na Mh Daniel Yona baadaye Mh Nazir Karamagi serikali haina hisa Yoyote.
Mh Rais katika uchunguzi wetu Serikali ina hisa asilimia 15 ikauza 5 na kila mwaka kamishna au Waziri wa Fedha hupokea dola laki 1.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.