Katika mchezo wa hatua ya timu 16, Sergio Ramos alipachika mabao mawili na kuipatia ushindi Real Madrid wa mabao 3-1 waliokuwa wakicheza ugenini dhidi ya Napoli.
Vijana hao wa Zinedine Zidane walishinda kwa jumla ya mabao 6-2 na kujihakikishia nafasi ya kucheza robo fainali. Alvaro Morata alifunga bao la tatu la Real Madrid.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.