Bunge wa Geita Mhe. Musukuma aihoji serikali juu ya upandishaji hadhi wa hospitali ya Geita kuwa katika hadhi ya mkoa.
Mhe. Angela Kairuki atoa ufafanuzi juu ya utekelezaji wa mfumo wa kupima utendaji kazi wa wazi kwa watumishi wa umma.
Naibu waziri wa Nishati na madini Mhe. Charles Mwijage aeleza kiundani juu ya uwekezaji wa serikali katika kiwanda cha General Tyre.
Mhe. Eng. Issac Kamwele atanabaisha sababu ya mkoa wa Pwani kutokuwa na mamlaka yake ya maji.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji aeleza juu ya mpango wa serikali kupandisha pesheni kwa wastaafu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.