ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 15, 2017

PROF LIPUMBA ANYOOSHA MIKONO JUU SASA ASAKA SULUHU KWA MAALIM SEIF.

Mwenyekiti wa taifa wa chama cha wananchi CUF Prof Ibrahim Lipumba, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharifu Hamad, kukubali kukaa naye meza moja ili kusaka suluhu, kwani kupelekana mahakamani hakuna faida bali kunakididimiza chama hicho.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.