Mwili wa Mwanamuziki wa Bongo flavour nchini Tanzania Albert Mangwea umewasili asubuhi ya leo kwenye viwanja vya Leaders Club ikiwa ni matayarisho ya kutoa heshima za mwisho kwa wapenzi wa muziki wake wakiwemo jamaa, ndugu na marafiki ambapo hatua hizo zitakamilika mnamo saa 6 mchana ili kuanza safari kuelekea mkoani Morogoro ambako atazikwa.
0 comments:
Post a Comment