Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh. Bi. Vick Kamata yuko Geita kwa wananchi wake kama anavyoonekana pichani akikabidhi baiskeli kwa walemavu 30 wa tarafa ya Bugando wilaya ya Geita mkoa mpya wa Geita.
Vick Kamata akimsaidia kusukuma baiskeli hiyo mmoja wa walemavu mara baada ya kumkabidhi baiskeli hiyo.
Baadhi ya baiskeli zilizokabidhiwa kwa walemavu huko Geita,
Baadhi ya walemavu wakiwa na baiskeli zao mara baada ya waliokabidhiwa.
Vick Kamata akifurahia jambo na mmoja wa wananchi hao wakati alipokabidhi baiskeli za walemavu huko Geita.
Baadhi ya walemavu wakisubiri kukabidhiwa baiskeli na mbunge Vick Kamata.
Mh. Vick Kamata akiteta jambo na mmoja wa wazee wa Geita.Picha na www.fulshangwe.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment