Mvuvi Aliyeichukuwa si ndo huyu sasa! Enzi za Waziri Magufuli kama u mvuvi kwa kutumia nyavu hizi, walahi weye wapata samaki wakubwa wakubwa tu! Nyavu zako hazito teketezwa kwa kuchomwa moto na wala hutokamatwa na sheria ya kuuwa mazalia ya samaki.
Nchi 10 zenye madeni makubwa zaidi Afrika
-
Kwa nchi nyingi, fedha ambazo zingetumika kwa maendeleo kwenye sekta za
afya, elimu na miundombinu sasa zinaelekezwa kulipia madeni.
0 comments:
Post a Comment