Mbunge wa Jimbo la Tememe kupitia Chama cha Wananchi CUF Abdallah Mtolea ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama hicho.Mtolea ameyasema hayo hii leo Bungeni jijini Dodoma na bado haijajulikana atahamia kwenye Chama gani.
0 comments:
Post a Comment