![]() |
| Marehemu Jackline Wanna Since 1970 - 23/07/2013. |
![]() |
| Mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari mwanamama Jacline Wanna umeagwa leo nyumbani kwake eneo la Nyamanoro, kisha ukazikwa katika makaburi ya Kitangiri jijini Mwanza |
![]() |
| Mwandishi wa Habari Leo Grace Chilongola akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Jacline Wanna. |
![]() |
| Wakijumuika kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Jacline Wanna ni safu ya waandishi wa habari mbele ni Novatus Makongo |
![]() |
| Heshima kwa mwili wa marehemu zikiendelea. |
![]() |
| Sitta Tuma akitoa heshima kwa mwili wa marehemu Jacline Wanna. |
![]() |
| Radio Maria nayo iliwakilishwa. |
![]() |
| Mwili wa marehemu ukitolewa nyumbani kwake kuelekea mazikoni. |
![]() |
| Majira ya saa 9 na dakika kadhaa msafara kuelekea makaburi ya Kitangiri. |
![]() |
| Ni katika eneo la makaburi ya Kitangiri. |
![]() |
| Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye nyumba yake ya milele. |
![]() |
| Mashuhuda. |
![]() |
| Uliumbwa kwa udongo na mavumbini utarudi. |
![]() |
| Shukurani za MPC ziliwasilishwa na Makamu Mwenyekiti Mr. Mpagaze |
![]() |
| Salamu za UTPC ziliwasilishwa na Victor Maleko. |
![]() |
| Katibu wa Mwenezi wa CCM Wilaya ya Nyamagana Mr. Mustapha aliwakilisha salamu za Chama cha mapinduzi. |
![]() |
| Waandishi wa habari wakiweka maua kwenye kaburi la hayati Jacline Wanna. |
![]() |
| Wakiweka mashada ya maua kwenye nyumba ya milele ya mpendwa wao. |
![]() |
| Hawa ni watoto wa marehemu aliowaacha. |
![]() |
| Mara baada ya hatua za mazishi kukamilika mume wa marehemu katikati (mwenye kauda suti nyeusi) alijumuika na nduguze katika sala. |
Tupe maoni yako




















0 comments:
Post a Comment