![]() |
| Washiriki wa kamati za ulinzi na usalama ndani ya semina ya mafunzo hayo kwenye kona kabisa (kulia) anaonekana Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na maji taka jijini Mwanza MWAUWASA. |
![]() |
| Sehemu ya washiriki. |
![]() |
| Tayari mpaka sasa Idara ya maafa Taifa imetoa mafunzo kama haya kwa mikoa yote nchini ikiwa imesalia mikoa saba tu kukamilisha zoezi la nchi nzima. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Katibu wa Bakwata mkoa, anayefuata ni Shekhe wa Mkoa na mdau mwingine. |
![]() |
| Wakuu na mazungumzo ya hapana pale... |
![]() |
| Picha ya pamoja ya viongozi na washiriki. |
Tupe maoni yako









0 comments:
Post a Comment