![]() |
| Kutoka kushoto ni Dj Jack, Dj Pq, The master na Denis. |
![]() |
| Hapa kulikuwa na raha zake bwana marafiki kukutana mishangao nini na nini..... |
![]() |
| Le shonteee Edgar Mapande akienjoy u-drinki wa wadhamini.. |
![]() |
| Kundi la Makomando na mkwara wa kwanza stejini... |
![]() |
| Kisha style ya kibega ikachukuwa fasi... |
![]() |
| Kudhihirisha kwa hili ni jukwaa la kimataifa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dyana alionyesha maufundi ya levo za juu. |
![]() |
| Feruz this time kaja kiutofauti saaaana. |
![]() |
| Mambo yote ilikuwa kwa mnyama TID... wawo! |
![]() |
| Hapa ilikuwa tyme ya maujanja ... |
![]() |
| Sanaa ya muziki wa hip hop kwa sasa siutani kwamba iko kwenye levo na hilo lilidhihirika alipopanda jukwaani bwana mdogo Stamina. |
![]() |
| Wanamuziki mahiri toka home ni Dito na Mada Ice wakiwa VIP. |
![]() |
| Mkali toka home Arachuga JCB na DJ Tass... wakibariz VIP ndani ya Tamasha kuba la Serengeti Fiesta 2012. |
![]() |
| Mwana Fa shukurani na big up ziende kwake jamaa alikinukisha mbayaaaaaaa.... |
![]() |
| Wadau toka Clouds Media Group. |
![]() |
| Ze ladiez...in the house. |
![]() |
| Meza iliyoshine ndani ya VIP nadani wataka kuwajua kutoka kushoto ni Edgar Mapande, Alex Kusaga, Gerlard Hando, Dina Marious, na Ncha Kali. |
![]() |
| Msanii wa muziki wa kizazi kutoka Zanzibar AT akitimbwirika na Mwanadada Shilole. |
![]() |
| Ze colour ya Serengeti Fiesta 2012 jijini Dar. |
![]() |
| Hapo vipi...! |
Tupe maoni yako






















0 comments:
Post a Comment