Watu wakitembea barabarani kusaka mahala pa kwenda kujisitiri na kupata msaada mara baada ya kimbunga kikali kilichoikumba nchi ya Haiti mnamo tarehe 4 mwezi Octoba 2016. |
Raia wameonekana kwa wingi barabarani wakirejea kwenye makazi yao mara baada ya hali kuonekana ya afadhali kiasi.
|
Upepo mkali umevuma ukipeperusha minazi na miti yenye nguvu. |
Baada ya kaya yake kuharibiwa vibaya mwanamke huyu imembidi kutafuta mbinu mbadala ya kujiokoteza mali zilizo tapakaa mitaani na kunasa kwenye kona mbalimbali miferejini. |
Maelfu ya watu wamepoteza makazi yao na walau kumi wamekufa. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.