![]() |
| Mtoto mlemavu wa viungo akimudu maisha kwa kutumia viungo vyake na kumudu maisha ya kujitegemea mbali na kuwa tegemezi kwa kushiriki kupika chakula. |
![]() |
| Mtoto huyo akiwa na familia yake tena kwa furaha teeeele. |
![]() |
| Hivi ndivyo mwanawane anavyokula bila utegemezi naye maisha kayazoea anaishi kama wewe uliye na viungo vyote. |
![]() |
| Na maji ya kunywa akishushia. |
![]() |
| Pozi la umakini nyumbani. |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment