Ngoma ya wakali wa Hispania Real Madrid na Barcelona USIKU WA LEO' imeisha kwa droo ya 2-2, dakika 45 za kipindi cha kwanza ziliisha kwa Baca kuongoza 2-0, real walirudisha kupitia C. Ronaldo na Benzema. Real imewabidi kumaliza mchezo wakiwa pungufu mara baada ya Ramos kupigwa red card ya utata.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment