Fahamu kuhusu meli ya mafuta iliyokamatwa na Marekani karibu na pwani ya
Venezuela
-
Mamlaka nchini Marekani haikutoa taarifa kuhusu ni chombo gani au hatima
yake itakuwaje baada ya kukamatwa Jumatano.
41 minutes ago