Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata mtandao wa majambazi na shehena ya silaha. Bunduki 23 za kivita. Risasi 853 Sare za polisi Pingu 48 Pamoja na Radio call 12 ambazo zimekuwa zikitumika katika matukio mbalimbali ya unyang'anyi katika jiji la Dar es salaa na mikoa ya jirani.
0 comments:
Post a Comment