Mchana Ilikuwaje?
Rejea Usiku.
Vijana wa masauti Akudo Sound walishuka kukamilisha sekta ya burudani kwani sherehe ilianza saa 11 jioni hadi saa 2 asubuhi siku inayofuata, Unacheza weeee!!!.
Ngoma asili nazo zilikuwepo, za wahaya, wakerewe na wajita.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment