ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 1, 2013

HIZI HAPA PICHA ZA CHEREKO LA HARUSI YA CHARLES SHAMBA NA SHARON STEVEN JIJINI DAR.

Ni chereko la harusi ya Bw. Charles Fabiano Shamba na Bi. Sharon Steven iliyofungwa katika kanisa la Anglican la Mtakatifu Paul lililoko Ukonga jijini Dar es salaam. Nakufuatiwa na sherehe nzuri iliyofana iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa City Centre jijini Dar se salaam.
Bi. Sharon Steven na wanakshi wake.
Bwana harusi Charles Fabiano Shamba na Bibi harusi Sharon Steven.
Mr & Mrs Adam Sengo.
Nakshi nakshi  za hapa na pale...!!!
We do....!
Ng'aring'ari za waalikwa zilikuwa safi.
Wow...!
How abou this..?
Sasa ni wakati wa kuingia ukumbini.
Dance la kuingia ukumbini na Mc. wa harusi ya Bw. Charles Fabiano Shamba na Bi. Sharon Steven iliyofungwa katika kanisa la Anglican la Mtakatifu Paul lililoko Ukonga jijini Dar es salaam. Nakufuatiwa na sherehe nzuri iliyofana iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa City Centre jijini Dar se salaam.
Meza ya familia ya bwana harusi ili 'shine'.
Maharusi wakiingia ukumbini.
Mc akifanya yake....
Kamati iliyoshiriki vyema kufanikisha harusi ya  Bw. Charles Fabiano Shamba na Bi. Sharon Steven iliyofungwa katika kanisa la Anglican la Mtakatifu Paul lililoko Ukonga jijini Dar es salaam. Nakufuatiwa na sherehe nzuri iliyofana iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa City Centre jijini Dar se salaam.
The area.
Meza za waalikwa.
Aaah utamu wa cake.
Kata keki tule....
kila meza ilikuwa na shampeni yake na hapa wadau wakishiriki mimina mimina...!!
'Flowers'
Wow beautiful...! 
Mkaguzi wa maakuli akihakiki mpangilio wa menyu na mengineyo.
Ze misosi...!
'Drafti'
Hapa ni vije?
"Sasa tuwakaribishe" ni kauli ya kamati mara baada ya kuhakiki.
Maharusi wakijisevia.
Zamu ya wapambe.
Waalikwa ladies and gentlemen. 
Kijisevia kukiendelea harusini.
Sasa ni wakati wa burudani...!!
Boys wakicheza Skelewuu..!!
Ilipendeza sana askwambie mtu.
Mduara haukukosekana.


Sukurani kwa kila mmoja aliyefanikisha muonekano huu mzuri wa harusi hatimaye sherehe.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. I love the color n ethng, hongera maharusi n event organizer am sure Mrs. Adam is responsible koz yy ni mkali wa mambo haya. Big up sanaaa na karibu katika maisha ya ndoa.

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.