ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 4, 2017

WABUNGE WAMPIGIA MAKOFI JK WASEA 'WAMEMMISI'

 Leo wakati kikao cha kwanza cha mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri vikiaanza hali ya vigelele na makofi vilishamili baada ya kuwasili kwa  Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete bungeni hapo.

 Rais Mstaafu Kikwete aliwasili bungeni hapo kama mgeni kwenye kikao hicho.


kwa takribani dakika 10 bunge zima lilisimama na kushangilia ujue wa Rais Mstaafu huyo.
wabunge hao bila kujali itikadi zao za siasa bungeni hapo walimshangilia Mkuu wa nchi huyo Mstaafu.


Hata hivyo bunge hilo limeanza kwa kuapishwa kwa  Mama Salma Kikwete mbunge wa kuteuliwa

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.