ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 10, 2016

NAMBA NYINGINE HII HAPA NDANI YA JEMBEKA FESTIVAL 2016

Dancehall & Ragga ni kama imeacha mizizi yake ya kudumu Kanda ya Ziwa toka zama na zama hadi akina Hardmad, Kid Bway, Jet Man, Lango Lango Crew na wengine kibao wanaotamba hadi leo na kizazi cha leo... Alaaa hebu wacha moto 🔥🔥uwake na mkali mwingine huyu hapa ambaye pia ni bonge la pRIZENTa @jembefm #RIDDIMzoNe wakuitwa @coolcharter47 Nyegezi itawakilishwa na kipaji hiki kwenye stage ya kijanja #JembekaFestival2016 CCM Kirumba Mwanza 21May2016 #JembekaNaVodacom #JembekaNaCocaCola @jembenijembe Hebu mtag rafikiyo askosekane sku-HiYo 🎼

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.