ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 10, 2017

SERIKALI WILAYANI SENGEREMA IMETOA SIKU 24 KWA MKURUGEZI WA HALMASHAURI HIYO KUTANZUA NGOGORO WA VIWAJA VYA MAKAZI NA VIWANDA WILAYANI HUMOAkizungumza katika kikao cha balaza la madiwani kilichoanza tarehe 6/7/2017 mkuu wa wilaya hiyo mh Emmanueli Kipole amesema  halmashauri  itengeneze mpango kazi wa kuwalipa wananchi hao fetha zao au iwape viwanja hivyo ili kurudisha imani ya viongozi kwa wananchi.
 
Mchakato huwa ulianza toka mwaka 2013 ambapo halmashauri hiyo iliwahamasisha wananchi kujitokeza na kulipia viwanja ambapo zilikusanywa fedha kiasi cha milioni miamoja na moja na hata sasa wananchi hao hawajapewa wala kupimiwa viwanja hivyo na wala hawajui viko sehemu gani viwanja hivyo wala nini hatma yake.

Mmoja kati ya wananchi hao ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema kuwa yeye amejitahidi kutafuta muafaka kwa kuwaona viongozi mbali mbali lakini hakufanikiwa kupata muafaka wa kutanzua sala hilo

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.