ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 18, 2017

REAL SALT LAKE VS MANCHESTER UNITED 1-2 HIGHLIGHTS & GOAL 18 JULY 2017.


Mashetani wekundu timu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Real Salt Lake katika mchezo wa kirafiki uliofanyika huko nchini Marekani. mabao ya timu hiyo yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan na Romelu Lukaku huku goli la Real Salt Lake likifungwa na Luis Silva.

Katika mchezo huo mshambuliaji Juan Mata amepata majeraha yanayotia shaka huenda akakosa kushiriki michezo ya awali ya ufunguzi VPL.

Wahispania wa Sevilla imeichapa Cerezo Osaka ya Japan kwa mabao 3-1,Wolfsburg wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Hansa Rostock

Sturm Graz na West Ham United wametoshana nguvu kwa sare ya bila kufungana .Real Union wamelala kwa kufungwa 3-1na Eibar.

Athletic Bilbao nao Fenerbahce nao wametoshana nguvu kwa mchezo kumalizika kwa sare ya bila bila.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.