ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 12, 2017

HABARI KATIKA PICHA NA MSIMU WA PAMBA

Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoa wa Mwanza, akishuhudia mzani unaopima Pamba mara baada ya msimu wa Ununuzi kuanza

Elimu ya Mizani kwa wakulima wa Pamba Mkoani Shinyanga hata baada ya Msimu wa Ununuzi wa pamba kuanza.
 Marobota ya Pamba yanayo subiri kuuzwa baada ya msimu kufunguliwa mkoani Simiyu.
 Marobota ya Pamba yanayo subiri kuuzwa baada ya msimu kufunguliwa mkoani Simiyu
Maafisa wa Wakala wa Vipimo Nchini, ukionesha Mizani iliyo kaguliwa na kukubaliwa kutumika katika msimu wa ununuzi wa Pamba kwa mwaka huu.
 Waliosimama chini ni Maafisa wa Wakala wa Vipimo wakionesha Mizani zilizo hakikiwa tayari kwa msimu huu wa ununuzi wa Pamba

Elimu ya Mizani sio zoezi lakukoma bali ni Muendelezo kama Wakala wa Vipimo anavyo onekana kutoa Elimu katika Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Tabora na Mwanza.

Pmba.8 Afisa wa wakala wa Vipimo, Bibi Rehema Michael akipima usahihi wa robota la Pamba kwakutumia mizani iliyohakikiwa na wakala wa Vipimo  mkoani Simiyu mara baada yakufunguliwa kwa Msimu (Picha zote na Wakala wa Vipimo)
Mkulima wa Pamba Mkoani Shinyanga akipima Pamba yake katika mzani uliohakikiwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.