ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 15, 2017

SENGEREMA:- 'NI KUCHOMA BANGI KWA KWENDA MBELE'

 Kamati ta ulinzi na usalama wilayani Sengerema imeendelea na zoezilake la kuteketeza mashamba ya bangi  na safari hii zoezi hilo limeelekezwa katikati ya hifadhi ya shamba la miti Buhindi Halmashauri ya Buchosa ambako huko makumi ya hekta za zao hilo haramu yameteketezwa.
 Zoezi likiendelea chini ya usimamizi wa kamati ya ulinzi na usalama.
 Ng'oa ng'oa mche kwa mche.


Kamati ya ulinzi na usalana wilaya ya sengerema imefanya msako katika msitu wa hifadhi ya miti buhundi wilaya ya buchosa na kuteketeza mashamba sita ya bangi

Kiongozi wa msako huo mkuu wa wilaya ya sengerema ms EMANUEL KIPOLE amesema kuwa serikali wilayani humo imejipanga  kwa kushirikiana na wananchi kuhakikisha  hautasalia mche hata mmoja wa bangi wilayani humo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.