ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 9, 2017

MAALIM SEIF AITOLEA UVIVU CCM.


KATIKA mkutano wake Waandishi wa Hbari Leo Jijini Dar es salaam, Maalim Seif asema Mgogoro unaoendelea CUF ni hujuma za Chama Tawala(CCM). Lengo la mkakati sio CUF, ni kuua UKAWA na upinzani.

Hizi ni hujuma zilizopangwa na Dola ili kuua Upinzani nchini na kunyamazisha kila anayethubutu kuikosoa Serikali.

Atoa wito kwa wazanzibari na wanaoiunga mkono CUF kusimama imara na kukilinda chama hicho kwani ieleweke kuwa Chama kinachotokea kwenye mgogoro huwa kinakuja juu sana. Nikimaliza ziara Zanzibar nitaanza jijini Dar es Salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.