ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 12, 2016

MANAGER Wa Diamond SALLAM AJIBU TUHUMA ZA KUHUJUMU SHOW YA ALI KIBA -Mambo Mseto Na Mzazi Willy Tuva

MANAGER Wa Diamond Sallam Na DJ Tee Boy (Aliyehusika) Waelezea Kilichotokea Siku Ya Mombasa Rocks Festival On Mambo Mseto Na Mzazi Willy Tuva.

Baada ya Alikiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music [Festival] lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefunguka na kuzungumzia tuhuma hizo pamoja na kilichompeleka katika tamasha hilo.

Kiba alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic aliyokuwa anaitumia kuonekana kupata mushkeli/kuzimwa na kumlazimu kuondoka jukwaani na muda mchache baadaye akapanda Chris Brown.

Akiongea katika kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya na Willy M Tuva, Sallam amekanusha moja kwa moja kuhusika kwenye tukio hilo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.