Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,
akikata utepe kuzindua rasmi Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliojengwa na mfanyabiashara
maarufu nchini, Said Salim Bakhresa katika eneo la Uwanja wa Chamazi, Mbagala
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti huyo wa Makampuni ya SSB, Said Salim
Bakhresa, ambapo pia uzinduzi huo uliofanyika leo Julai 4, 2014, ulihudhuriwa
na baadhi ya Viongozi wa Kiserikali akiwemo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mke wa Rais, Mama Salma
Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na wengineo. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.