ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 3, 2017

BONDIA IBRAHIMU CLASS ATUA NCHINI NA UBINGWA WA DUNIA.

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council  'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council  'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point kushoto ni bondia shabani kaoneka na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' 

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini 

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council  'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point

Kocha wa kimataifa wa mchezo w masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiteta jambo na bingwa wa Dunia wa Mchezo wa masumwi nchini Ibrahimu Class 

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini.

Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini  Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini
bondia Ibrahimu Class akiwa na ubingwa wake alipowasili

  1. bondia Ibrahimu Class akiwa na ubingwa wake alipowasili.
  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.