ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 30, 2017

BARCELONA WABABE WA REAL MADRID WAIBAMIZA 3-2 MCHEZO WA KIRAFIKI.

Gerard Pique akiifungia bao la ushindi Barcelona dakika ya 50 ikiilaza 3-2 Real Madrid katika mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Hard Rock mjini Miami, Marekani. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Lionel Messi dakika ya tatu na Ivan Rakitic dakika ya saba, wakati ya Real yamefungwa na Mateo Kovacic dakika ya 14 na Marco Asensio dakika ya 36.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.