ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 13, 2017

SAFARI KUTOKA SINZA HADI MWANZA 'UNYAMWEZINI'

MSANII wa Hip Hop toka Sinza jijini Dar es salaam Mansulii aka 'Sinza Star' leo katambulisha ngoma yake mpya TUSTAREHE katika studio za Jembe Fm Mwanza.

Kipindi cha kwanza ni 'Hit Zone' kinachoruka kila siku ya juma mishale ya saa 7 mchana hadi 10 kamili jioni, humo ndimo alipo husika na maojiano, na kisha baadaye jioni ndani ya 'Hot Stage' akiwa na watangazaji Bonz Balaa na John Jackson aka JJ katika kipindi kinacho deal kwa kina na muziki wa Hip Hop.

CHEKSHIA MAPHOTOz YALIYOHUSIKA PALE KATI @jembefm
Mansulii.
Haruna Farijala.
Pamoja sana.
Pamoja sana.
Unyamwezini.
The crew.
The Crew iliyo nyamazisha anga hii leo majira ya mchana kutoka kushoto ni Natty E, Deejay Jacko, Mansulii, Baba Juti na Haruna Farijala.
Mansulii hapa na kuleeee Natty E.
Natty E alongside Mansulii.
Deejay Jacko.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.