ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 22, 2017

MBUNGE WA NYAMAGANA STANSLAUS MABULA APOKEA RASMI AMBULANCE KWA JIMBO LAKE.

 "Shukurani kubwa ziende kwa Serikali ya Awamu ya tan kwa kutekeleza ahadi kwa wakati katika kutetea watanzania.

Wana-Nyamagana tunayofuraha kupokea gari la wagonjwa wilaya ya Nyamagana litakalo punguza matatizo kwa karibu.

Aksante WHO kwa msaada na Serikali yetu baada ya kilio changu cha muda mfupi, na shukurani kwa waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu"
Na nyenzo zake muhimu.
Mzigo umewasili.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.