ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 8, 2016

YALIYOJIRI HII LEO BUNGENI.


Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu mpango mkakati wa kuinua zao la Tumbaku nchini kwa kuwaleta wawekezaji wakubwa kutoka nchini China; 


Je, kwanini Tanzania haitaki kusaini mkataba wa EPA? Naibu waziri wa mambo ya nje Dkt. Susan akitoa ufafanuzi wa swali la Mhe.Peter Msigwa. 


Ni lini serikali itajenga gereza  Rorya kupunguza msongamano wa mahabusu? Swali kutoka kwa mbunge wa Tarime  mjini Mhe. Esther Matiko. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.